CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38
Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi i) Pera ii) Papai iii) Pesheni iv) Parachichi
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Msamiati, Kamusi
38. Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi
i) Pera
ii) Papai
iii) Pesheni
iv) Parachichi
- A(iv) (i) (iii) (ii)
- B(ii) (iv) (i) (iii)
- C(iv) (iii) (ii) (i)
- D(ii) (i) (iv) (iii)
Answer
B. (ii) (iv) (i) (iii)
Papai, parachichi, pera, pesheni.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?Question 39
- Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.Question 40
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 41
- Chagua jibu ambalo lina maneno ambayo ni visaweQuestion 42
- Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayoQuestion 43
- Kamilisha pengo kwa neno mwafaka: Sisi ___ tulipewa zawadi.Question 44