CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43
Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayo
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vimilikishi
43. Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayo
- Awengi
- Bchangu
- Cwale
- Dsisi
Answer
B. changu
-angu huonyesha umilikaji.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha pengo kwa neno mwafaka: Sisi ___ tulipewa zawadi.Question 44
- Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZIQuestion 45
- Ni neno lipi katika ya haya ni la KiswahiliQuestion 46
- Kisawe cha neno maskini niQuestion 47
- Tambua nomino kwenye sentensi hii: Kusoma kwingi kuna faida nyingi.Question 48
- Shairi lenye mishororo mitatu katika kila ubeti huitwaQuestion 49