CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 44
Kamilisha pengo kwa neno mwafaka: Sisi ___ tulipewa zawadi.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vishiriki
44. Kamilisha pengo kwa neno mwafaka:
Sisi ______ tulipewa zawadi.
- Andio
- Bndiye
- Cndisi
- Dndizi
Answer
C. ndisi
"Sisi ndisi" — kishiriki cha nafsi ya kwanza wingi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZIQuestion 45
- Ni neno lipi katika ya haya ni la KiswahiliQuestion 46
- Kisawe cha neno maskini niQuestion 47
- Tambua nomino kwenye sentensi hii: Kusoma kwingi kuna faida nyingi.Question 48
- Shairi lenye mishororo mitatu katika kila ubeti huitwaQuestion 49
- Chagua kivumishi cha sifa kati ya maneno hayaQuestion 50