CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 45
Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZI
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
45. Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZI
- Ambuga
- Btuzo
- Cgari
- Dnguo
Answer
C. gari
Gari ni ngeli ya LI-YA (gari – magari).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni neno lipi katika ya haya ni la KiswahiliQuestion 46
- Kisawe cha neno maskini niQuestion 47
- Tambua nomino kwenye sentensi hii: Kusoma kwingi kuna faida nyingi.Question 48
- Shairi lenye mishororo mitatu katika kila ubeti huitwaQuestion 49
- Chagua kivumishi cha sifa kati ya maneno hayaQuestion 50
- Vyanda kwenye mikono ya binadamu maradufu niQuestion 1