CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 50
Chagua kivumishi cha sifa kati ya maneno haya
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi
50. Chagua kivumishi cha sifa kati ya maneno haya
- Amarembo
- Bwengi
- Cchake
- Dyule
Answer
A. marembo
Wengi ni cha idadi, chake ni kimilikishi na yule ni kionyeshi.