CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Kidole gumba ni kidole gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha jibu maswali 1 hadi 7.
Kidole kimoja hakivunji chawa. Ndivyo wasemavyo wahenga. Mkono wa mwanadamu una vidole vitano. Kidole kidogo, cha pete, cha kati, cha shahada na kidole gumba. Kati ya vidole hivi vyote, kidole cha shahada ndicho kinachotumiwa sana kwa mambo mengi. Kidole hiki hutumika kumwonya mtu. Si heshima wala adabu njema kwa mdogo kumnyoshea mkubwa wake kwa umri wa cheo kidole ili kumwonya. Kumbuka unapomnyoshea mtu kidole hicho cha shahada ili kumwonya vidole nyingine vitatu huwa vimekuelekea wewe mwenyewe kukuonya pia.
Baadhi ya watu hupenda kuwaita watu wengine kwa kidole cha shahada huku wakichezesha na kukielekeza kwao. Hiyo si tabia nzuri hata kidogo.
5. Kidole gumba ni kidole gani?
- AKidogo
- BCha pete
- CCha shahada
- DKikubwa
Answer
D. Kikubwa
Gumba ni kidole kikubwa kinene.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni kidole kipi kinachotumiwa visivyoQuestion 6
- Unapomwashiria mtu kwa kidole cha shahada, ni vidole vingapi hukuelekea?Question 7
- Wageni walitoka wapi?Question 8
- Wengine hawakukaa sebuleni kwa sababuQuestion 9
- Ni nani aliyetumia bizari na tangawizi?Question 10
- Kifungu kukoka moto kimetumiwa katika ufahamu maana yake niQuestion 11