CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48
Tambua nomino kwenye sentensi hii: Kusoma kwingi kuna faida nyingi.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
48. Tambua nomino kwenye sentensi hii:
Kusoma kwingi kuna faida nyingi.
- Akusoma
- Bkwingi
- Cnyingi
- Dkuna
Answer
A. kusoma
Kusoma ni nomino ya ngeli ya KU.