CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 40
Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
40. Wingi wa sentensi hii ni:
Gari lilioshwa jana.
- AGari zilioshwa jana.
- BMagari zilioshwa.
- CMagari yalioshwa jana
- DGari yalioshwa jana.
Answer
C. Magari yalioshwa jana
Gari (LI-YA): magari yalioshwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 41
- Chagua jibu ambalo lina maneno ambayo ni visaweQuestion 42
- Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayoQuestion 43
- Kamilisha pengo kwa neno mwafaka: Sisi ___ tulipewa zawadi.Question 44
- Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZIQuestion 45
- Ni neno lipi katika ya haya ni la KiswahiliQuestion 46