CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 39
Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
39. Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?
- AChakula, chati, choo
- BSaa, uwanja, tunda
- CUbao, uwanja, ukuta
- DWino, dawati, simu
Answer
C. Ubao, uwanja, ukuta
Ubao – mbao, uwanja – nyanja, ukuta – kuta: ngeli ya U-ZI.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.Question 40
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 41
- Chagua jibu ambalo lina maneno ambayo ni visaweQuestion 42
- Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayoQuestion 43
- Kamilisha pengo kwa neno mwafaka: Sisi ___ tulipewa zawadi.Question 44
- Chagua nomino isiyopatikana katika ngeli ya I-ZIQuestion 45