CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 37
Hili ni jedwali la maneno. Chagua jibu linaloonyesha nomino?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
37. Hili ni jedwali la maneno. Chagua jibu linaloonyesha nomino?
- ARuka, Nunua, Tembea
- BWema, Uzuri, Upendo
- CSafi, Kubwa, Nzuri
- DPolepole, Haraka, Sana
Answer
B. Wema, Uzuri, Upendo
Wema, uzuri na upendo ni nomino dhahania.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi i) Pera ii) Papai iii) Pesheni iv) ParachichiQuestion 38
- Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?Question 39
- Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.Question 40
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 41
- Chagua jibu ambalo lina maneno ambayo ni visaweQuestion 42
- Kipi ni kimilikishi katika maneno yafuatayoQuestion 43