naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 35

Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 35.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi nambari ya 26 hadi 35. Jaza kila nafasi ukitumia jibu mwafaka.
Hamjambo? Leo hii __26__ furaha kubwa __27__ ya kupata nafasi hii ya __28__ mafanikio na baadhi __29__ shida zinazowakabili wakulima wetu.
Kwanza kabisa, mtakumbuka __30__ kilimo cha kahawa na majani chai kimepiga __31__ kubwa katika muda wa miaka __32__ iliyopita. Wakulima wamepegwa mbegu __33__ na miche yenye afya __34__ kutumika kuinua kiwango __35__ ubora wa mazao haya.

35. Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 35.

  1. Aya
  2. Bcha
  3. Cwa
  4. Dza

Answer

B. cha

Kiwango (ngeli ya KI-VI): "kiwango cha ubora".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test