CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 34
Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 34.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi nambari ya 26 hadi 35. Jaza kila nafasi ukitumia jibu mwafaka.
Hamjambo? Leo hii __26__ furaha kubwa __27__ ya kupata nafasi hii ya __28__ mafanikio na baadhi __29__ shida zinazowakabili wakulima wetu.
Kwanza kabisa, mtakumbuka __30__ kilimo cha kahawa na majani chai kimepiga __31__ kubwa katika muda wa miaka __32__ iliyopita. Wakulima wamepegwa mbegu __33__ na miche yenye afya __34__ kutumika kuinua kiwango __35__ ubora wa mazao haya.
34. Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 34.
- Ana
- Bili
- Clakini
- Dwala
Answer
B. ili
"Ili kutumika" — kusudi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 35.Question 35
- Kuanzia nambari ya 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo. 36. Hii picha ya kifaa cha nyumbani. Kifaa…Question 36
- Hili ni jedwali la maneno. Chagua jibu linaloonyesha nomino?Question 37
- Maneno haya yanafuatana vipi katika kamusi i) Pera ii) Papai iii) Pesheni iv) ParachichiQuestion 38
- Ni majina yapi yaliyo katika ngeli moja?Question 39
- Wingi wa sentensi hii ni: Gari lilioshwa jana.Question 40