naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18

Wazee wa Kipwerere waliamini agua lipi?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu swali la 14 hadi 19.
Kipwerere alikuwa mwanamke wa kishirazi, mweupe mwenye nywele za singa. Alikuwa akimezewa mate na kila kijana wa kiume. Lakini, “Ukiwa na mali hukosi bahati,” kwani wote walimkosa akampata Bwana Au, mtu wa mbali kabisa. Waliemkosa waliwahasimu wazee wa kipwerere na kuwaona kama adui zao.
Miaka kumi tangu kipwerere aolewe alikuwa dhaifu, na wazee wake walifika kwa waganga na kuambiwa eti karogwa na wachumba waliomtamani. Wengine walisema amedhuriwa katika kichaka kiitwacho “Mzimu wa watu wa kale,” alipokuwa akipita alipokuwa kigoli. Shetani wa mzimuni alimshika na kumpanda kichwani. Wazee wake walidhania aguo hili la pili ni kweli.

18. Wazee wa Kipwerere waliamini agua lipi?

  1. AKipwerere alirogwa na watu wasiojulikana.
  2. BKipwerere alirogwa na wachumba wasiomtaka.
  3. CKipwerere alirogwa na wazee wake.
  4. DShetani wa mzimuni alimshika na kumpanda kichwani.

Answer

D. Shetani wa mzimuni alimshika na kumpanda kichwani.

Waliamini aguo la pili: shetani wa mzimuni.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test