naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17

Vijana waliomkosa Kipwerere

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu swali la 14 hadi 19.
Kipwerere alikuwa mwanamke wa kishirazi, mweupe mwenye nywele za singa. Alikuwa akimezewa mate na kila kijana wa kiume. Lakini, “Ukiwa na mali hukosi bahati,” kwani wote walimkosa akampata Bwana Au, mtu wa mbali kabisa. Waliemkosa waliwahasimu wazee wa kipwerere na kuwaona kama adui zao.
Miaka kumi tangu kipwerere aolewe alikuwa dhaifu, na wazee wake walifika kwa waganga na kuambiwa eti karogwa na wachumba waliomtamani. Wengine walisema amedhuriwa katika kichaka kiitwacho “Mzimu wa watu wa kale,” alipokuwa akipita alipokuwa kigoli. Shetani wa mzimuni alimshika na kumpanda kichwani. Wazee wake walidhania aguo hili la pili ni kweli.

17. Vijana waliomkosa Kipwerere

  1. Awaliwahasimu wazee wake
  2. Bwaliwapenda wazee wake
  3. Cwaliwahasimu wazee wao
  4. Dwalimroga akawa mgonjwa

Answer

A. waliwahasimu wazee wake

"Waliemkosa waliwahasimu wazee wa kipwerere."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test