naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30

Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 30.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi nambari ya 26 hadi 35. Jaza kila nafasi ukitumia jibu mwafaka.
Hamjambo? Leo hii __26__ furaha kubwa __27__ ya kupata nafasi hii ya __28__ mafanikio na baadhi __29__ shida zinazowakabili wakulima wetu.
Kwanza kabisa, mtakumbuka __30__ kilimo cha kahawa na majani chai kimepiga __31__ kubwa katika muda wa miaka __32__ iliyopita. Wakulima wamepegwa mbegu __33__ na miche yenye afya __34__ kutumika kuinua kiwango __35__ ubora wa mazao haya.

30. Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 30.

  1. Akua
  2. Bkukua
  3. Ckukuwa
  4. Dkuwa

Answer

D. kuwa

"Mtakumbuka kuwa …"

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test