CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28
Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 28.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi nambari ya 26 hadi 35. Jaza kila nafasi ukitumia jibu mwafaka.
Hamjambo? Leo hii __26__ furaha kubwa __27__ ya kupata nafasi hii ya __28__ mafanikio na baadhi __29__ shida zinazowakabili wakulima wetu.
Kwanza kabisa, mtakumbuka __30__ kilimo cha kahawa na majani chai kimepiga __31__ kubwa katika muda wa miaka __32__ iliyopita. Wakulima wamepegwa mbegu __33__ na miche yenye afya __34__ kutumika kuinua kiwango __35__ ubora wa mazao haya.
28. Chagua jibu mwafaka kujaza nafasi 28.
- Akuwaeleza
- Bkueleza
- Ckuieleza
- Dkuwaelekeza
Answer
A. kuwaeleza
"Kuwaeleza mafanikio" — kuwaeleza ninyi.