CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15
Kipwerere aliugua kwa muda wa
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu swali la 14 hadi 19.
Kipwerere alikuwa mwanamke wa kishirazi, mweupe mwenye nywele za singa. Alikuwa akimezewa mate na kila kijana wa kiume. Lakini, “Ukiwa na mali hukosi bahati,” kwani wote walimkosa akampata Bwana Au, mtu wa mbali kabisa. Waliemkosa waliwahasimu wazee wa kipwerere na kuwaona kama adui zao.
Miaka kumi tangu kipwerere aolewe alikuwa dhaifu, na wazee wake walifika kwa waganga na kuambiwa eti karogwa na wachumba waliomtamani. Wengine walisema amedhuriwa katika kichaka kiitwacho “Mzimu wa watu wa kale,” alipokuwa akipita alipokuwa kigoli. Shetani wa mzimuni alimshika na kumpanda kichwani. Wazee wake walidhania aguo hili la pili ni kweli.
15. Kipwerere aliugua kwa muda wa
- Amiaka michache
- Bmiaka kumi
- Cmiaka mingi
- Dmiaka zaidi ya kumi
Answer
B. miaka kumi
"Miaka kumi tangu kipwerere aolewe alikuwa dhaifu."
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Bwana Au alimwoa kipwerere kwa sababuQuestion 16
- Vijana waliomkosa KipwerereQuestion 17
- Wazee wa Kipwerere waliamini agua lipi?Question 18
- Kipwerere alikuwa wa kabila laQuestion 19
- Maajabu aliyokuwa amekutana nayo Emili akielekea mtoni niQuestion 20
- Kwa nini kobe alimzungumzia Emili katika mshtuko wake?Question 21