CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 1)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · Revision 2026 (Booklet 1) · 47 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 47 questions with answers
- Question 1: Taarifa hii inatudokezea kwamba mikasa imejaa na kuzidi kuongezeka kwa sababuAnswer: A. kila kisa huzua mkasa
- Question 2: Mwandishi anatuambia kwamba mikasa na visa vinapotokeaAnswer: B. hutangazwa na vyombo vya habari.
- Question 3: Ni dhahiri kuwa mikasa mikubwa mikubwaAnswer: A. ndiyo inarejelewa mara kwa mara na vyombo vya habari.
- Question 4: Mikasa ya ubakaji ni katika baadhi ya mikasa ya kuudhi, kukora naAnswer: B. kushangaza
- Question 5: Chagua kauli sahihi kulingana na taarifa uliyosomaAnswer: A. matendo maovu na visa vilivyotajwa hapa havifai kutokea hata kidogo katika taifa la kizalendo.
- Question 6: Mwandishi hasemi kwambaAnswer: D. ukosefu wa maadili katika jamii uvumilwe tu.
- Question 7: Tunaarifiwa kwamba kisa cha hivi karibuni kabisa cha mkasa niAnswer: B. kifo cha mwanafunzi kutoka mtini
- Question 8: Mwalimu alipomwamuru Bwana Mdogo akakate fimbo alidhamiria nini?Answer: B. Kumwadhibu vikali.
- Question 9: Hatua aliyochukua mwalimu ya kumwadhibu kijana huyo kwa fimboAnswer: A. ni kinyume cha maadili ya haki za watoto.
- Question 10: Taarifa hii inazingatia na kutetea maswala yaAnswer: D. malezi
- Question 11: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 11.Answer: A. ya
- Question 12: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 12.Answer: B. mingi
- Question 13: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 13.Answer: A. mwingine
- Question 14: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 14.Answer: B. kamwe
- Question 15: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 15.Answer: A. kuitumia
- Question 16: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 16.Answer: D. kwa ajili ya
- Question 17: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 17.Answer: B. malisho
- Question 18: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 18.Answer: C. wetu
- Question 19: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 19.Answer: B. zijayo
- Question 20: Mbio zake ndefu zilimwokoa ni sawa naAnswer: A. kukimbia kwake kurefu kulimwokoa.
- Question 21: Ni sentensi ipi haikuandikwa sawa kisarufi?Answer: C. Watu wanalima shambani lake.
- Question 22: Ni maneno yapi ambayo ni vivumishi katika sentensi hii? Vijana hodari waliwasaidia watoto sita walioshambuliwa na chui mkaliAnswer: C. hodari, sita, mkali
- Question 23: Kutokana na nomino "mbio" tunapata kitenziAnswer: C. kimbia
- Question 24: Sentensi ipi iliounganishwa sawasawa kwa kukanusha kutokana na sentensi hizi mbili Luka alienda dukani. Luka alinunua mkate.Answer: D. Luka hakuenda dukani wala hakununua mkate.
- Question 25: Taja kinyume ambacho ni kukanusha kwa sentensi ifuatayo Mgeni alipowasili tulimlaki.Answer: D. Mgeni alipoondoka hatukumsindikiza.
- Question 26: Sentensi ipi si wingi katika ukubwa?Answer: C. Magari na majahazi yametekwa na majambazi.
- Question 27: Mwizi alinyolewa ___ zake ___ zikaisha.Answer: C. ndevu, refu
- Question 28: Sentensi ipi ni sahihiAnswer: C. Angeenda angempata.
- Question 29: Mshororo wa tatu kwenye kila ubeti unaitwaje?Answer: C. Mleo
- Question 30: Piga maja ni mbinu gani ya lugha?Answer: B. nahau
- Question 31: Kusoma kwake kulimfanya atuzwe. Neno lilopigiwa mstari ni aina gani ya nomino? (Kusoma)Answer: B. Kitenzi jina
- Question 32: Dua la kukuAnswer: C. halimpati mwewe
- Question 33: Wowote watasafiri kesho. Neno lilopigwa mstari ni gani? (Wowote)Answer: D. Kiwakilishi
- Question 34: Msemaji wa habari hii amepata fedhaa zaidiAnswer: B. kutokana na mwanawe kuitwa mhuni.
- Question 35: Taarifa hii inatufahamisha kuwaAnswer: C. msemaji anashuku mwanawe aonewa kijicho.
- Question 36: Kwa mujibu wa habari hii, mzazi anamtaka mwanaweAnswer: D. atumie busara kuwajua watu wabaya.
- Question 37: Habari hii inasema kwambaAnswer: C. Maulid ni mwana wa Geshum
- Question 38: Wanaofananishwa hapa na ndumakuwili niAnswer: B. rafiki zake Maulid
- Question 39: Baba mtu anatuambia kwambaAnswer: C. watu hujifanya wema machoni kumbe ndumakuwili wapika majungu.
- Question 40: Tabia mbaya sana ya mtu ndumakuwili niAnswer: A. unafiki
- Question 41: Habari hii inatudokeza kuwaAnswer: B. watu hao hawata-mbai lakini njama zao huenea jinsi ambavyo nyoka hao hutambaa kuenezea sumu zao.
- Question 42: Mwisho mwisho msomaji anamwonya na kumtadharisha mwanae ajihadhari na kujitenga na wabayaAnswer: A. kabla hawajamwaribu
- Question 43: Lengo la taarifa hii hasa ni kutoa taadhari kuhusu hulka za binadamu waovu pamoja na kutoaAnswer: A. wasia kwa mwana
- Question 44: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 44.Answer: D. ingine
- Question 45: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 45.Answer: D. jambo
- Question 46: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 46.Answer: B. asiwe
- Question 47: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 47.Answer: C. awe