CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28
Sentensi ipi ni sahihi
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usahihi wa Sentensi
28. Sentensi ipi ni sahihi
- AAngalienda angempata.
- BAngelienda angalimpata.
- CAngeenda angempata.
- DAngeenda angelimpata
Answer
C. Angeenda angempata.
Kiambishi kilekile -nge- kinatumika katika vitenzi vyote viwili.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Mshororo wa tatu kwenye kila ubeti unaitwaje?Question 29
- Piga maja ni mbinu gani ya lugha?Question 30
- Kusoma kwake kulimfanya atuzwe. Neno lilopigiwa mstari ni aina gani ya nomino? (Kusoma)Question 31
- Wowote watasafiri kesho. Neno lilopigwa mstari ni gani? (Wowote)Question 33
- Msemaji wa habari hii amepata fedhaa zaidiQuestion 34
- Taarifa hii inatufahamisha kuwaQuestion 35