CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Mshororo wa tatu kwenye kila ubeti unaitwaje?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi
29. Mshororo wa tatu kwenye kila ubeti unaitwaje?
- AMloto
- BMwanzo
- CMleo
- DKibwagizo
Answer
C. Mleo
Katika ubeti wa mishororo minne, wa tatu huitwa mleo.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Piga maja ni mbinu gani ya lugha?Question 30
- Kusoma kwake kulimfanya atuzwe. Neno lilopigiwa mstari ni aina gani ya nomino? (Kusoma)Question 31
- Wowote watasafiri kesho. Neno lilopigwa mstari ni gani? (Wowote)Question 33
- Msemaji wa habari hii amepata fedhaa zaidiQuestion 34
- Taarifa hii inatufahamisha kuwaQuestion 35
- Kwa mujibu wa habari hii, mzazi anamtaka mwanaweQuestion 36