CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 31
Kusoma kwake kulimfanya atuzwe. Neno lilopigiwa mstari ni aina gani ya nomino? (Kusoma)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino
31. Kusoma kwake kulimfanya atuzwe. Neno lilopigiwa mstari ni aina gani ya nomino? (Kusoma)
- ADhahania
- BKitenzi jina
- CWingi
- DJamii
Answer
B. Kitenzi jina
Kusoma ni kitenzi kinachotumika kama nomino (KU).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Wowote watasafiri kesho. Neno lilopigwa mstari ni gani? (Wowote)Question 33
- Msemaji wa habari hii amepata fedhaa zaidiQuestion 34
- Taarifa hii inatufahamisha kuwaQuestion 35
- Kwa mujibu wa habari hii, mzazi anamtaka mwanaweQuestion 36
- Habari hii inasema kwambaQuestion 37
- Wanaofananishwa hapa na ndumakuwili niQuestion 38