CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 44
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 44.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Jaza nafasi 44-47 kwa jibu sahihi.
Kazi __44__ ya mwanafunzi ni kuacha kabisa kuchelewa, tena ajidilishe katika kila __45__ atendalo. Kutochelewa na kuwa mwadilifu kutamzuia __46__ mvivu au mzembe. Lazima __47__ na tabia ___ kujituma sana. Hata mtu mwenye ___ mkubwa wa akili hawezi tenda ___ yoyote.
44. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 44.
- Azingine
- Bkingine
- Cnyingine
- Dingine
Answer
D. ingine
Kazi (N) – kazi nyingine (au ingine).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 45.Question 45
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 46.Question 46
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 47.Question 47
- Taarifa hii inatudokezea kwamba mikasa imejaa na kuzidi kuongezeka kwa sababuQuestion 1
- Mwandishi anatuambia kwamba mikasa na visa vinapotokeaQuestion 2
- Ni dhahiri kuwa mikasa mikubwa mikubwaQuestion 3