naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 45

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 45.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Jaza nafasi 44-47 kwa jibu sahihi.
Kazi __44__ ya mwanafunzi ni kuacha kabisa kuchelewa, tena ajidilishe katika kila __45__ atendalo. Kutochelewa na kuwa mwadilifu kutamzuia __46__ mvivu au mzembe. Lazima __47__ na tabia ___ kujituma sana. Hata mtu mwenye ___ mkubwa wa akili hawezi tenda ___ yoyote.

45. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 45.

  1. Ashughuli
  2. Bkitu
  3. Ckazi
  4. Djambo

Answer

D. jambo

"Atendalo" (-lo-) hupatana na jambo (LI).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test