CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 47
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 47.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Jaza nafasi 44-47 kwa jibu sahihi.
Kazi __44__ ya mwanafunzi ni kuacha kabisa kuchelewa, tena ajidilishe katika kila __45__ atendalo. Kutochelewa na kuwa mwadilifu kutamzuia __46__ mvivu au mzembe. Lazima __47__ na tabia ___ kujituma sana. Hata mtu mwenye ___ mkubwa wa akili hawezi tenda ___ yoyote.
47. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 47.
- Aakuwe
- Bhawe
- Cawe
- Dakakuwe
Answer
C. awe
Lazima awe na tabia...
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Taarifa hii inatudokezea kwamba mikasa imejaa na kuzidi kuongezeka kwa sababuQuestion 1
- Mwandishi anatuambia kwamba mikasa na visa vinapotokeaQuestion 2
- Ni dhahiri kuwa mikasa mikubwa mikubwaQuestion 3
- Mikasa ya ubakaji ni katika baadhi ya mikasa ya kuudhi, kukora naQuestion 4
- Chagua kauli sahihi kulingana na taarifa uliyosomaQuestion 5
- Mwandishi hasemi kwambaQuestion 6