naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43

Lengo la taarifa hii hasa ni kutoa taadhari kuhusu hulka za binadamu waovu pamoja na kutoa

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma habari kisha ujibu maswali 34 - 43.
Geshum alifadhaishwa sana na mwanawe kuitwa mhuni. Aliamini rafiki zake walimwonea gere Maulid, na kwamba hawakupenda afanikiwe katika jambo lolote. Alipomaliza kazi jioni hiyo, alikwenda kumkabidhi mwanawe leseni aliyonunua Bomani. Alimwelezea mwanawe ajihadhari na watu wabaya waliojaribu kumharibia maisha yake. Alisema babamtu, “Jihadhari na watu wa aina ya ndumakuwili. Kama humfahamu, ndumakuwili ni kama nyoka. Huyu ndumakuwili ana sumu baridi huuma akivuvia. Hana mkia yeye; ana vichwa pande zote mbili. Mwanangu, duniani humu mna watu sawasawa na ndumakuwili. Ingawa wao hawatambui, lakini maneno yao hutambaa. Njama zao kutambaa na maovu yao huzagaa. Huuma wakipuliza afanyavyo huyo manyama. Endapo huna busara, hutatambua hadi sumu ikujae. Liga ikiisha kukuingia mwanangu, ndivyo hivyo tena......!”

43. Lengo la taarifa hii hasa ni kutoa taadhari kuhusu hulka za binadamu waovu pamoja na kutoa

  1. Awasia kwa mwana
  2. Bonyo kwa ndumakuwili
  3. Csiri za urafiki
  4. Dsiri za ndumakuwili

Answer

A. wasia kwa mwana

Babamtu anampa mwanawe wasia wa kujihadhari; habari haimwonyi ndumakuwili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test