CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 11.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Jaza nafasi 11-19 kwa majibu sahihi.
Misitu __11__ nchi hii ni __12__ sana hata wakati __13__ tunadanganyika kuwa haitakwisha __14__. Tunaamini kwamba tunaweza kuendelea __15__ miti yake na kuikata __16__ kutengeneza mashamba na __17__ ya mifugo __18__ bila kupanda au kuhifadhi mingine kwa manufaa ya siku __19__.
11. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 11.
- Aya
- Bza
- Cwa
- Dmwa
Answer
A. ya
Misitu (MI) – misitu ya nchi hii.