naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 16.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Jaza nafasi 11-19 kwa majibu sahihi.
Misitu __11__ nchi hii ni __12__ sana hata wakati __13__ tunadanganyika kuwa haitakwisha __14__. Tunaamini kwamba tunaweza kuendelea __15__ miti yake na kuikata __16__ kutengeneza mashamba na __17__ ya mifugo __18__ bila kupanda au kuhifadhi mingine kwa manufaa ya siku __19__.

16. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 16.

  1. Amaadam
  2. Blaiti
  3. Ckwa vile
  4. Dkwa ajili ya

Answer

D. kwa ajili ya

Kuikata kwa ajili ya kutengeneza mashamba.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test