naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21

Ni sentensi ipi haikuandikwa sawa kisarufi?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi

21. Ni sentensi ipi haikuandikwa sawa kisarufi?

  1. AWatu wanalima shambani pake.
  2. BWatu wanalima shambani kwake.
  3. CWatu wanalima shambani lake.
  4. DWatu wanalima shambani mwake.

Answer

C. Watu wanalima shambani lake.

"Shambani" ni mahali (PA-KU-MU), hivyo huchukua pake, kwake au mwake; "lake" si sahihi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test