naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24

Sentensi ipi iliounganishwa sawasawa kwa kukanusha kutokana na sentensi hizi mbili Luka alienda dukani. Luka alinunua mkate.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji

24. Sentensi ipi iliounganishwa sawasawa kwa kukanusha kutokana na sentensi hizi mbili
Luka alienda dukani. Luka alinunua mkate.

  1. ALuka alienda dukani na kununua mkate.
  2. BLuka alienda dukani lakini hakununua mkate.
  3. CLuka alienda dukani hakununua mkate.
  4. DLuka hakuenda dukani wala hakununua mkate.

Answer

D. Luka hakuenda dukani wala hakununua mkate.

Sentensi zote mbili zimekanushwa na kuunganishwa kwa "wala".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test