naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26

Sentensi ipi si wingi katika ukubwa?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo

26. Sentensi ipi si wingi katika ukubwa?

  1. AMagombe yale yaliswagwa na matoto yale.
  2. BMajikapu na mafuko yamejaa majitabu.
  3. CMagari na majahazi yametekwa na majambazi.
  4. DMagumi ya madume yana maguvu mengi.

Answer

C. Magari na majahazi yametekwa na majambazi.

Magari, majahazi na majambazi ni wingi wa kawaida, si ukubwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test