CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Kutokana na nomino "mbio" tunapata kitenzi
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uundaji wa Maneno
23. Kutokana na nomino "mbio" tunapata kitenzi
- Akimbilio
- Bmkimbizi
- Ckimbia
- Dukimbiaji
Answer
C. kimbia
Kimbia ni kitenzi; vingine ni nomino.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi ipi iliounganishwa sawasawa kwa kukanusha kutokana na sentensi hizi mbili Luka alienda dukani. Luka alinunua…Question 24
- Taja kinyume ambacho ni kukanusha kwa sentensi ifuatayo Mgeni alipowasili tulimlaki.Question 25
- Sentensi ipi si wingi katika ukubwa?Question 26
- Mwizi alinyolewa ___ zake ___ zikaisha.Question 27
- Sentensi ipi ni sahihiQuestion 28
- Mshororo wa tatu kwenye kila ubeti unaitwaje?Question 29