CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Ni maneno yapi ambayo ni vivumishi katika sentensi hii? Vijana hodari waliwasaidia watoto sita walioshambuliwa na chui mkali
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
22. Ni maneno yapi ambayo ni vivumishi katika sentensi hii? Vijana hodari waliwasaidia watoto sita walioshambuliwa na chui mkali
- Awatoto, sita, hodari
- Bsita, chui, mkali
- Chodari, sita, mkali
- Dwaliwasaidia, walioshambuliwa
Answer
C. hodari, sita, mkali
Hodari, sita na mkali hueleza nomino.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kutokana na nomino "mbio" tunapata kitenziQuestion 23
- Sentensi ipi iliounganishwa sawasawa kwa kukanusha kutokana na sentensi hizi mbili Luka alienda dukani. Luka alinunua…Question 24
- Taja kinyume ambacho ni kukanusha kwa sentensi ifuatayo Mgeni alipowasili tulimlaki.Question 25
- Sentensi ipi si wingi katika ukubwa?Question 26
- Mwizi alinyolewa ___ zake ___ zikaisha.Question 27
- Sentensi ipi ni sahihiQuestion 28