naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 17.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Jaza nafasi 11-19 kwa majibu sahihi.
Misitu __11__ nchi hii ni __12__ sana hata wakati __13__ tunadanganyika kuwa haitakwisha __14__. Tunaamini kwamba tunaweza kuendelea __15__ miti yake na kuikata __16__ kutengeneza mashamba na __17__ ya mifugo __18__ bila kupanda au kuhifadhi mingine kwa manufaa ya siku __19__.

17. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 17.

  1. Azizi
  2. Bmalisho
  3. Cboma
  4. Dnyasi

Answer

B. malisho

Mashamba na malisho ya mifugo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test