CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 19.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Jaza nafasi 11-19 kwa majibu sahihi.
Misitu __11__ nchi hii ni __12__ sana hata wakati __13__ tunadanganyika kuwa haitakwisha __14__. Tunaamini kwamba tunaweza kuendelea __15__ miti yake na kuikata __16__ kutengeneza mashamba na __17__ ya mifugo __18__ bila kupanda au kuhifadhi mingine kwa manufaa ya siku __19__.
19. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 19.
- Aijayo
- Bzijayo
- Cyajayo
- Dzijazo
Answer
B. zijayo
Siku (N) – siku zijayo.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Mbio zake ndefu zilimwokoa ni sawa naQuestion 20
- Ni sentensi ipi haikuandikwa sawa kisarufi?Question 21
- Ni maneno yapi ambayo ni vivumishi katika sentensi hii? Vijana hodari waliwasaidia watoto sita walioshambuliwa na chui…Question 22
- Kutokana na nomino "mbio" tunapata kitenziQuestion 23
- Sentensi ipi iliounganishwa sawasawa kwa kukanusha kutokana na sentensi hizi mbili Luka alienda dukani. Luka alinunua…Question 24
- Taja kinyume ambacho ni kukanusha kwa sentensi ifuatayo Mgeni alipowasili tulimlaki.Question 25