CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026: Term 1 February Assessment 2026 (Set 2)
Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 36 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 36 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A: 1. Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi? (1 alama)Answer: Kwa sababu alikuwa mtukutu na mwenye majisifu.
- Question 2: Thibitisha kuwa kondoo aliishi vizuri na wanyama wengine shambani. (1 alama)Answer: Alipendwa na wanyama wengine kwa upole na ukarimu wake.
- Question 3: Nini kilimwokoa kondoo? (1 alama)Answer: Wageni waliahirisha safari (baada ya kondoo kumwomba Muumba).
- Question 4: Umejifunza nini kutokana na kifungu hiki? (1 alama)Answer: Usifurahie shida za wengine; Mungu humlinda mwenye haki.
- Question 5: SEHEMU B: UFAHAMU 5. Jukumu la kudumisha usafi ni la nani? (1 alama)Answer: Ni la wote (wakazi wote pamoja na serikali).
- Question 6: Wakaazi wanaweza kuonyesha uwajibikaji kwa:Answer: C. Kutenga muda wa kusafisha mazingira
- Question 7: Taja ugonjwa mmoja unaosababishwa na uchafu. (1 alama)Answer: Kipindupindu.
- Question 8: Kisawe cha neno dhati ni nini?Answer: B. Uaminifu
- Question 9: Andika habari kuu ya aya ya kwanza kwa sentensi moja. (1 alama)Answer: Nchi yetu ina rasilimali nyingi zinazopaswa kutumiwa kwa busara.
- Question 10: Fupisha ujumbe huu kwa maneno yasiyozidi kumi: “Vijana wakitumia maarifa yao wanaweza kuzalisha bidhaa nchini.”Answer: Maarifa ya vijana yanaweza kuzalisha bidhaa nchini.
- Question 11: Andika ujumbe ulioko katika aya ya mwisho kwa sentensi moja. (1 alama)Answer: Tukitumia rasilimali zetu vizuri tutajitegemea bila misaada.
- Question 12: Toa kichwa kifaacho kwa kifungu hiki. (1 alama)Answer: Matumizi Bora ya Rasilimali
- Question 13: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 13.Answer: C. Inapaswa
- Question 14: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 14.Answer: A. Baadhi ya
- Question 15: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 15.Answer: C. Kumhakikishia
- Question 16: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.Answer: A. Hana budi
- Question 17: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.Answer: C. Kujithamini
- Question 18: Chagua kadi yenye nomino za kawaida pekee.Answer: D. Baiskeli, Taa, Mkoba, Kisu
- Question 19: Andika sentensi ifuatayo katika wakati uliopita hali ya kuendelea: “Juma atakuwa akisoma kitabu cha hadithi.”Answer: Juma alikuwa akisoma kitabu cha hadithi.
- Question 20: Tumia viambishi ngeli kukamilisha: (2 alama) Ushirikiano wetu ___metusaidia kukamilisha kazi ___liyokuwepo kwa haraka.Answer: Ushirikiano wetu umetusaidia kukamilisha kazi iliyokuwepo kwa haraka.
- Question 21: Kitenzi kilichopigiwa mstari katika sentensi “Kago alikuwa akizifua nguo zake” ni cha aina gani?Answer: Ni kitenzi kisaidizi.
- Question 22: Kamilisha jedwali: Maagano — Jibu Tuonane kesho — Inshallah Alamsiki — ___Answer: Binuru (Allah binuru).
- Question 23: Kamilisha sentensi ifuatayo: Shule ya Bidii ina wanafunzi ___. (1 alama)Answer: wengi
- Question 24: Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa ___. (1 alama)Answer: nyota
- Question 25: Andika wingi wa sentensi ifuatayo: “Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.”Answer: Nyumba zilizojengwa zina mapaa ya kupendeza.
- Question 26: Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa: “Yona amewapeleka mifugo malishoni.”Answer: Mifugo wamepelekwa malishoni na Yona.
- Question 27: Kanusha sentensi ifuatayo: “Tungalitunza misitu ipasavyo, tungalipata manufaa mengi.”Answer: Tusingalitunza misitu ipasavyo, tusingalipata manufaa mengi.
- Question 28: SEHEMU E: FASIHI 28. (a) Taja tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. (3 alama)Answer: Andishi huandikwa lakini simulizi hupokezwa kwa mdomo; andishi hudumu bila kubadilika lakini simulizi…
- Question 29: (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto. (2 alama)Answer: Bembelezi huimbwa na walezi kumtuliza mtoto alale, lakini nyimbo za watoto huimbwa na watoto wenyewe…
- Question 30: (c) Taja sifa nne za bembelezi. (4 alama)Answer: Maneno laini, mdundo wa polepole, sauti ya chini, na kurudiarudia maneno.
- Question 31: (d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)Answer: Mdundo wa haraka, huambatana na michezo, na hufundisha maadili.
- Question 32: a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)Answer: Mandhari ya kijijini na ya kando ya mto (darajani).
- Question 33: b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)Answer: Viwanda vilivyojengwa kando ya mto vimechafua maji kuwa ya kahawia, na mashamba ya biashara yameharibu mto…
- Question 34: c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasiAnswer: i. Nahau ii. Methali iii. Tashihisi
- Question 35: d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)Answer: Kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto, na mto ulikuwa na maji mengi na samaki.
- Question 36: e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)Answer: Wamiliki wa viwanda na wakulima wa mashamba ya biashara.