CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 12
Toa kichwa kifaacho kwa kifungu hiki. (1 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ufupisho
SEHEMU C: UFUPISHO
Nchi yetu imebarikiwa kwa rasilimali nyingi kama mito, maziwa, milima, na wanyama wa porini. Tunapaswa kuzitumia kwa busara ili kukuza uchumi. Ni aibu kuona tunaagiza bidhaa kutoka nje ilhali tuna vijana wenye maarifa wanaoweza kuzalisha humu nchini. Tukitumia rasilimali zetu vizuri, tutajitegemea na kuacha utegemezi wa misaada.
12. Toa kichwa kifaacho kwa kifungu hiki. (1 alama)
Answer
Matumizi Bora ya Rasilimali
Kichwa hufupisha jambo kuu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.