naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 13

Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 13.

From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi.
Familia ___(13)___ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ___(14)___ njia hizo ni ___(15)___ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ___(16)___ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ___(17)___ maishani.

13. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 13.

  1. AWanapaswa
  2. BMnapaswa
  3. CInapaswa
  4. DAnapaswa

Answer

C. Inapaswa

Familia ni ngeli ya I-ZI, kwa hivyo "Familia inapaswa". Kwa kuwa familia ni watu, "wanapaswa" pia hukubaliwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test