naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 16

Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.

From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi.
Familia ___(13)___ kumhudumia mtoto kwa njia anuwai. ___(14)___ njia hizo ni ___(15)___ usalama wake hasa anapokuwa nyumbani. Mathalani, ___(16)___ kutiwa moyo hata pale anaposhindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ili aweze ___(17)___ maishani.

16. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.

  1. AHana budi
  2. BAna budi
  3. CWana budi
  4. DHawana budi

Answer

A. Hana budi

"Hana budi" maana yake lazima: mtoto hana budi kutiwa moyo. "Budi" hutumiwa na kanushi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test