CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 21
Kitenzi kilichopigiwa mstari katika sentensi “Kago alikuwa akizifua nguo zake” ni cha aina gani?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
21. Kitenzi kilichopigiwa mstari katika sentensi “Kago alikuwa akizifua nguo zake” ni cha aina gani?
Answer
Ni kitenzi kisaidizi.
"Alikuwa" kinasaidia kitenzi kikuu "akizifua".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha jedwali: Maagano — Jibu Tuonane kesho — Inshallah Alamsiki — ___Question 22
- Kamilisha sentensi ifuatayo: Shule ya Bidii ina wanafunzi ___. (1 alama)Question 23
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa ___. (1 alama)Question 24
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo: “Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.”Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa: “Yona amewapeleka mifugo malishoni.”Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo: “Tungalitunza misitu ipasavyo, tungalipata manufaa mengi.”Question 27