CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 23
Kamilisha sentensi ifuatayo: Shule ya Bidii ina wanafunzi ___. (1 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
23. Kamilisha sentensi ifuatayo:
Shule ya Bidii ina wanafunzi ______. (1 alama)
Answer
wengi
Kivumishi kinachokubaliana na wanafunzi (wa-).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Umati ni kwa watu kama vile thureya ni kwa ___. (1 alama)Question 24
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo: “Nyumba iliyojengwa ina paa la kupendeza.”Question 25
- Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa: “Yona amewapeleka mifugo malishoni.”Question 26
- Kanusha sentensi ifuatayo: “Tungalitunza misitu ipasavyo, tungalipata manufaa mengi.”Question 27
- SEHEMU E: FASIHI 28. (a) Taja tofauti tatu kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi. (3 alama)Question 28
- (b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto. (2 alama)Question 29