CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 29
(b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto. (2 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
(b) Tofautisha bembelezi na nyimbo za watoto. (2 alama)
Answer
Bembelezi huimbwa na walezi kumtuliza mtoto alale, lakini nyimbo za watoto huimbwa na watoto wenyewe wanapocheza.
Linganisha nani anaimba na kwa nini.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (c) Taja sifa nne za bembelezi. (4 alama)Question 30
- (d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)Question 31
- a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)Question 32
- b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)Question 33
- c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasiQuestion 34
- d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)Question 35