CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 30
(c) Taja sifa nne za bembelezi. (4 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 4 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
(c) Taja sifa nne za bembelezi. (4 alama)
Answer
Maneno laini, mdundo wa polepole, sauti ya chini, na kurudiarudia maneno.
Bembelezi ni nyimbo za kutuliza watoto.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)Question 31
- a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)Question 32
- b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)Question 33
- c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasiQuestion 34
- d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)Question 35
- e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)Question 36