naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 32

a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)

From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 2 marks · Topic: Kusoma, Novela

29. NOVELLA
Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.
Gari liliteremka taratibu. Mela alitupa macho nje kutazama mazingira tofauti na aliyoyazoea. Zamani kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto. Walipofika kwenye daraja, Mela alishtuka kuona mto Salama umebaki na maji machache ya kahawia. Aliambiwa kuwa viwanda na mashamba ya biashara yamejengwa kandokando ya mto huo, na sasa haukuwa na samaki tena.
Mela alihuzunika na kujiuliza kwa nini binadamu anaendelea kuharibu mazingira yake mwenyewe.

a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)

Answer

Mandhari ya kijijini na ya kando ya mto (darajani).

Mela anasafiri garini kupitia kijiji hadi darajani.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test