CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 31
(d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
(d) Taja sifa tatu za nyimbo za watoto. (3 alama)
Answer
Mdundo wa haraka, huambatana na michezo, na hufundisha maadili.
Nyimbo za watoto huimbwa wakicheza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza. (2 alama)Question 32
- b) Eleza mifano miwili ya uchafuzi wa mazingira ulioonyeshwa. (2 alama)Question 33
- c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasiQuestion 34
- d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)Question 35
- e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)Question 36
- SEHEMU A: 1. Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi? (1 alama)Question 1