CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 34
c) Tamathali zilizotumika: (3 alama) i. Kupigwa na bumbuwazi ii. Mwenye macho haambiwi tazama iii. Mto ulilipiza kisasi
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 3 marks · Topic: Kusoma, Novela
29. NOVELLA
Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.
Gari liliteremka taratibu. Mela alitupa macho nje kutazama mazingira tofauti na aliyoyazoea. Zamani kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto. Walipofika kwenye daraja, Mela alishtuka kuona mto Salama umebaki na maji machache ya kahawia. Aliambiwa kuwa viwanda na mashamba ya biashara yamejengwa kandokando ya mto huo, na sasa haukuwa na samaki tena.
Mela alihuzunika na kujiuliza kwa nini binadamu anaendelea kuharibu mazingira yake mwenyewe.
c) Tamathali zilizotumika: (3 alama)
i. Kupigwa na bumbuwazi
ii. Mwenye macho haambiwi tazama
iii. Mto ulilipiza kisasi
Answer
i. Nahau ii. Methali iii. Tashihisi
Bumbuwazi ni usemi wa nahau; "mwenye macho haambiwi tazama" ni methali; mto kulipiza kisasi ni kuupa uhai wa binadamu (tashihisi).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)Question 35
- e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)Question 36
- SEHEMU A: 1. Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi? (1 alama)Question 1
- Thibitisha kuwa kondoo aliishi vizuri na wanyama wengine shambani. (1 alama)Question 2
- Nini kilimwokoa kondoo? (1 alama)Question 3
- Umejifunza nini kutokana na kifungu hiki? (1 alama)Question 4