CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 36
e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 2 marks · Topic: Kusoma, Novela
29. NOVELLA
Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.
Gari liliteremka taratibu. Mela alitupa macho nje kutazama mazingira tofauti na aliyoyazoea. Zamani kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto. Walipofika kwenye daraja, Mela alishtuka kuona mto Salama umebaki na maji machache ya kahawia. Aliambiwa kuwa viwanda na mashamba ya biashara yamejengwa kandokando ya mto huo, na sasa haukuwa na samaki tena.
Mela alihuzunika na kujiuliza kwa nini binadamu anaendelea kuharibu mazingira yake mwenyewe.
e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)
Answer
Wamiliki wa viwanda na wakulima wa mashamba ya biashara.
Kifungu kinataja viwanda na mashamba ya biashara.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU A: 1. Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi? (1 alama)Question 1
- Thibitisha kuwa kondoo aliishi vizuri na wanyama wengine shambani. (1 alama)Question 2
- Nini kilimwokoa kondoo? (1 alama)Question 3
- Umejifunza nini kutokana na kifungu hiki? (1 alama)Question 4
- SEHEMU B: UFAHAMU 5. Jukumu la kudumisha usafi ni la nani? (1 alama)Question 5
- Wakaazi wanaweza kuonyesha uwajibikaji kwa:Question 6