CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 35
d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 2 marks · Topic: Kusoma, Novela
29. NOVELLA
Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.
Gari liliteremka taratibu. Mela alitupa macho nje kutazama mazingira tofauti na aliyoyazoea. Zamani kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto. Walipofika kwenye daraja, Mela alishtuka kuona mto Salama umebaki na maji machache ya kahawia. Aliambiwa kuwa viwanda na mashamba ya biashara yamejengwa kandokando ya mto huo, na sasa haukuwa na samaki tena.
Mela alihuzunika na kujiuliza kwa nini binadamu anaendelea kuharibu mazingira yake mwenyewe.
d) Eleza hali ilivyokuwa Mela alipokuwa mtoto. (2 alama)
Answer
Kulikuwa na kichaka kikubwa kilichowaogofya watoto, na mto ulikuwa na maji mengi na samaki.
"Zamani kulikuwa na kichaka kikubwa"; mto ulikuwa na samaki.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- e) Ni akina nani waliochangia uchafuzi wa mazingira kijijini? (2 alama)Question 36
- SEHEMU A: 1. Kwa nini jogoo hakuwa na marafiki wengi? (1 alama)Question 1
- Thibitisha kuwa kondoo aliishi vizuri na wanyama wengine shambani. (1 alama)Question 2
- Nini kilimwokoa kondoo? (1 alama)Question 3
- Umejifunza nini kutokana na kifungu hiki? (1 alama)Question 4
- SEHEMU B: UFAHAMU 5. Jukumu la kudumisha usafi ni la nani? (1 alama)Question 5