CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 6
Wakaazi wanaweza kuonyesha uwajibikaji kwa:
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Ingawa serikali za magatuzi zina jukumu kubwa la kudumisha usafi wa miji, wakazi hawapaswi kungoja serikali iwafanyie kila kitu. Wajibu wa usafi ni wa wote. Wanaweza kutenga siku moja kila mwezi kushiriki kusafisha mazingira, wakiwa wamejikinga kwa mavazi yanayofaa kama glovu na viatu vya kazi.
Uchafuzi wa mazingira huleta magonjwa kama kipindupindu na homa ya matumbo. Hivyo, kila mtu anapaswa kuchukua hatua za kulinda afya na mazingira yake.
6. Wakaazi wanaweza kuonyesha uwajibikaji kwa:
- AKukumbusha serikali jukumu lake
- BKujifunza madhara ya uchafuzi
- CKutenga muda wa kusafisha mazingira
- DKuonya wasiojua umuhimu wa usafi
Answer
C. Kutenga muda wa kusafisha mazingira
"Wanaweza kutenga siku moja kila mwezi kushiriki kusafisha mazingira."
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Taja ugonjwa mmoja unaosababishwa na uchafu. (1 alama)Question 7
- Kisawe cha neno dhati ni nini?Question 8
- Andika habari kuu ya aya ya kwanza kwa sentensi moja. (1 alama)Question 9
- Fupisha ujumbe huu kwa maneno yasiyozidi kumi: “Vijana wakitumia maarifa yao wanaweza kuzalisha bidhaa nchini.”Question 10
- Andika ujumbe ulioko katika aya ya mwisho kwa sentensi moja. (1 alama)Question 11
- Toa kichwa kifaacho kwa kifungu hiki. (1 alama)Question 12