CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 8
Kisawe cha neno dhati ni nini?
From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
8. Kisawe cha neno dhati ni nini?
- AUangalifu
- BUaminifu
- CLengo
- DBidii
Answer
B. Uaminifu
Kwa dhati ni kwa moyo mkunjufu, kwa uaminifu (ukweli).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika habari kuu ya aya ya kwanza kwa sentensi moja. (1 alama)Question 9
- Fupisha ujumbe huu kwa maneno yasiyozidi kumi: “Vijana wakitumia maarifa yao wanaweza kuzalisha bidhaa nchini.”Question 10
- Andika ujumbe ulioko katika aya ya mwisho kwa sentensi moja. (1 alama)Question 11
- Toa kichwa kifaacho kwa kifungu hiki. (1 alama)Question 12
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 13.Question 13
- Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 14.Question 14