naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 7

Taja ugonjwa mmoja unaosababishwa na uchafu. (1 alama)

From Kiswahili — Term 1 February Assessment 2026 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Ingawa serikali za magatuzi zina jukumu kubwa la kudumisha usafi wa miji, wakazi hawapaswi kungoja serikali iwafanyie kila kitu. Wajibu wa usafi ni wa wote. Wanaweza kutenga siku moja kila mwezi kushiriki kusafisha mazingira, wakiwa wamejikinga kwa mavazi yanayofaa kama glovu na viatu vya kazi.
Uchafuzi wa mazingira huleta magonjwa kama kipindupindu na homa ya matumbo. Hivyo, kila mtu anapaswa kuchukua hatua za kulinda afya na mazingira yake.

7. Taja ugonjwa mmoja unaosababishwa na uchafu. (1 alama)

Answer

Kipindupindu.

Kifungu kinataja kipindupindu na homa ya matumbo.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test